Dodoma FM
Je, ni nani mrithi wa mali za marehemu ikiwa hana ndugu?
25 September 2024, 8:27 pm
Na Leonald Mwacha.
Wengi wetu tumeshuhudia ndugu wa wakirithi mali za marehemu baada ya utaratibu wa mirathi kufanyika. Je uliwahi kujiuliza ni nani anaweza kurithi mali za marehemu ikiwa hana ndugu?
Fuatilia mahojiano baina ya Leonard Mwacha na Lydia Mnete wakili Kutoka Alex Law Advocate ambapo anaeleza nini hasa kinatakiwa kufanyika katika suala hilo.