Dodoma FM

Recent posts

2 December 2020, 8:38 am

Wananchi Wilayani Kongwa wanavyoshiriki kutunza mazingira

Na Selemani Kodima Dodoma. Ushirikiano wa wananchi na Uongozi wa Kijiji cha Sejeli Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma umetajwa kama njia inayoweza kukomesha uharibifu wa mazingira hususani ukataji wa Miti hovyo. Hayo yanajiri baada ya hivi karibuni Uongozi wa Kijiji…

1 December 2020, 6:54 am

Ukosefu wa elimu ya jinsia unavyochangia maambukizi ya vvu kwa vijana

Na,Mariam MatunduDodoma.Ukosefu wa elimu ya jinsia kwa vijana kuanzia ngazi ya familia inatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea takUwimu za maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana kuwa juu kuliko kundi lolote. Akizungumza na Taswira ya habari mtaalamu wa afya…

1 December 2020, 6:20 am

Ukarabati wa skimu za Kilimo Ruaha wafikia asilimia 60

Na,Mindi Joseph Ukarabati wa miundombinu inayopeleka maji katika skimu za kilimo cha umwagiliaji Ruaha Mbuyuni, Namagozi na Mlenge Pawaga Mkoani Iringa iliyoharibiwa na mafuriko katika msimu wa mvua zilizopita umekamilika kwa Asilimia (60%). Akizungumza katika ofisi za Tume ya Taifa…

30 November 2020, 7:22 am

Ukosefu wa sera ya unywaji pombe wachangia kuzorotesha uchumi

Kutokuwepo kwa sera madhubuti zinazohusu masuala ya unywaji pombe kupita kiasi kumechangangia kushindwa kufanyika kwa shughuli za kiuchumi kutokana na baadhi ya watumiaji wa vinywaji vikali kuendekeza unywaji kupita kiasi.Hayo yamesemwa Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Mtandao wa mashirika ya…

26 November 2020, 7:19 am

Wanawake na fursa za kiuchumi

Wanawake nchini wameshauriwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kujiongezea kipato ambacho kitawasaidia katika mambo mbalimbali hususan katika kugombea na kuendesha kampeni wakati wa chaguzi. Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Dodoma…