Recent posts
22 April 2021, 10:56 am
Chidilo walalamika kukosa huduma zitokanazo na nishati ya umeme.
Na; Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya umeme katika Kijiji cha Chidilo Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi kumechangia kwa kiasi kikubwa kakosekana kwa huduma nyingine zinazotegemea nishati hiyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wakati…
22 April 2021, 10:23 am
Vijana wajengewa uwezo kupitia shindano la usalama mtandaoni
Na; Mindi Joseph. Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itaendelea kuboresha mawasiliano bora na salama kwa watumiaji kufuatia idadi ya watumiaji wa mtandao kufika milioni 27.9 Desemba 2020 mwaka ulio pita. Akizungumza wakati wa kufunga shindano la pili la masuala…
22 April 2021, 8:39 am
Watanzania wanatarajia nini kwenye hotuba ya Rais Samia ?
Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…
21 April 2021, 12:50 pm
Dodoma jiji kucheza na Azam FC kesho uwanja wa Jamhuri Dodoma
Na; Matereka Junior Makocha wa timu zote mbili Dodoma jiji na Azam fc wamezungumzia maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kesho Alhamis katika uwanja wa Jamhuri.
21 April 2021, 12:27 pm
Elimu ya Afya ya uzazi fumbo kubwa kwa vijana wasio na uelewa
Na; Mariam Matundu . Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka vyuo mbalimbali wametajwa kuwa miongoni mwa vijana ambao bado hawana ujasiri wa kuzungumza masuala ya afya ya uzazi kwa uwazi. Hayo yamesemwa na kijana, mwanafunzi wa chuo cha…
21 April 2021, 10:44 am
Jamii yatakiwa kutambua kuwa haki sawa katika malezi itapunguza ukatili wa kijin…
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuhakikisha inatoa haki sawa katika malezi kwa watoto wao wa kike na wakiume ili kuleta usawa wa kijinsia na kupunguza vitendo vya ukatili kwenye jamii. Wito huo umetolewa na afisa ustawi wa jamii Dodoma Bi.Faudhia…
21 April 2021, 10:27 am
Vitunguu kupanda bei , baada ya msimu wake kwisha
Na; Tosha Kavula. Imeelezwa kuwa uchache wa zao la vitunguu sokoni hivi sasa, unasababishwa na msimu wake wa mavuno kupita. Wakizungumza na Dodoma Fm wafanyabiashara wa zao hilo katika soko la Majengo wamesema hali hii imechangia bei ya zao hilo…
21 April 2021, 10:04 am
NEMC yafanya operesheni vifungashio visivyo na ubora.
Na; Mindi Joseph. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kati Dodoma limefanya operesheni ya ukaguzi wa vifungashio visivyokidhi ubora sokoni na kukamata vifungashio takribani kilo 125 na kuvitaifisha. Akizungumza na taswira ya Habari baada ya kufanya ukaguzi huo…
21 April 2021, 8:29 am
Hombolo walalamikia changamoto ya barabara inayopelekea vyombo vya usafiri kuhar…
Na ;Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Hombolo Makulu Wilaya ya Dodoma mjini wametoa kilio chao juu ya changamoto ya barabara ambayo huwa inaathilika kwa kipindi cha mvua na kusababisha kero kwa watumiaji Taswira ya habari imezungumza na Mwajuma Rashidi…
21 April 2021, 7:52 am
Wakulima washauriwa kutumia njia bora za kuhifadhi mazao
Na ;Thadei Tesha. Wakulima wameshauriwa kutumia njia bora za uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha mazao yao yanadumu kwa muda mrefu bila ya kuharibika. Akizungumza na taswira ya habari afisa kilimo wa jiji la Dodoma Bi.Gloria Woisso amebainisha njia bora za…