Dodoma FM

Recent posts

11 February 2021, 2:00 pm

Wasiolipa ada ya usafi jijini Dodoma kukiona

Na,Yusuph Hans, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imeelezea baadhi ya adabu anazoweza kupewa mwananchi au kaya ambayo haitaki kulipa ada ya uzoaji taka, inayokusanywa kutokana na huduma hiyo kutolewa kila wiki. Akizungumza na Taswira ya Habari afisa afya wa…

11 February 2021, 1:34 pm

Viongozi wa dini watakiwa kukemea ukatili kwa vitendo

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wito umetolewa kwa viongozi wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuelekeza jamii mambo mema, ikiwepo kupinga na kukemea vitendo vya ukatili wa kijinsia.Hayo yameelezwa na shekhe Abdishakul Maulid wakati akizungumza katika kipindi cha Dodoma Live kinachorushwa…

9 February 2021, 2:11 pm

Mpango mwingine wa miaka 10 waanzishwa kupunguza ajali

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Kufuatia mpango kazi wa Dunia wa kuzuia ajali za barabarani kwa asilimia 50% wa miaka kumi iliyopita 2011 hadi 2020 kutokufika malengo, umeanzishwa mpango mwingine wa miaka 10, 2021 hadi 2030 unaoendana na malengo ya maendeleo endelevu.…

8 February 2021, 1:43 pm

CDF lasaidia kupunguza mimba za utotoni Mpwapwa

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Zaidi ya wanafunzi elfu moja kutoka shule 8 za Sekondari na 12 za Msingi Wilayani Mpwapwa, wamefanikiwa kupata mafunzo ya kuwajengea mazingira salama wawapo shuleni toka mwaka 2017. Akizungumza na Taswira ya habari meneja miradi kutoka Shirika…

5 February 2021, 4:40 pm

TASAF yazidi kunufaisha kaya masikini

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Kaya milion moja na laki mbili zinatarajiwa kushiriki katika miradi ya kuinua uchumi wa kaya kati ya kaya milion 1 laki nne na nusu zilizopo katika kipindi cha pili cha awamu ya 3, ya utekelezaji wa mpango…

5 February 2021, 4:19 pm

Chupa zenye haja ndogo zatupwa hovyo mitaani

Na,Yusuph Hans, Dodoma. Wakazi wa Maeneo mbalimbali Mkoani Dodoma wamelalamikia tabia ya baadhi ya madereva wa daladala kujisaidia haja ndogo kwenye chupa za vinywaji na kuzitupa hovyo Mitaani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Taswira ya Habari baadhi ya wakazi hao…

5 February 2021, 1:47 pm

Ubovu wa miundombinu wachangia nauli kupanda Engusero

Na,Seleman Kodima, Dodoma. Ubovu wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Engusero Wilayani Kiteto umewatia hofu wananchi kuhusu kupata huduma za kijamii wakati huu wa Msimu wa Mvua za Masika. Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya wanakijiji wa Kata…

4 February 2021, 1:51 pm

Ushirikiano mdogo wachochea vitendo vya ukatili

Na,Alfred Bulaya, Dodoma. Imeelezwa kuwa ushirikiano mdogo baina ya mamlaka zinazoshughulikia masuala ya ukatili kwa wanawake na watoto, ni moja ya chanzo cha kuongezeka matukio hayo hali inayodhohofisha jitihada za kukomesha vitendo hivyo. Hayo yamebainishwa na mratibu wa kamati ya…

4 February 2021, 12:59 pm

Waziri Mkuu:Wekeni mipango ya kudumu ujenzi wa miundombinu ya shule

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Serikali imeziagiza Halmashauri zote nchini kuwa na mpango wa kudumu unaosimamia ujenzi wa miundombinu katika shule zote, ili kuepuka upungufu wa madarasa unaokwamisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kuanza kidato cha kwanza . Akizungumza Bungeni hii leo katika…

4 February 2021, 12:31 pm

Milioni 255 zatengwa kumaliza tatizo la maji Mazae

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Wakati Vijiji vya Idilo na Kisokwe Wilayani Mpwapwa vinakabiliwa na changamoto ya maji kwa muda mrefu Serikali kupitia mamlaka ya maji Vijijini Ruwasa imetenga Shilingi Milioni 255 ili kutatua adha hiyo kwa wananchi.Taswira ya habari imefika katika…