Recent posts
30 April 2021, 1:22 pm
RAIS SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM
Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…
30 April 2021, 12:59 pm
Kushuka kwa bei ya mchele neema kwa walaji
Na; Salim Kimbesi. Imeelezwa kuwa kwa sasa bei ya mchele imeshuka sana sokoni kutokana na zao hilo kupatikana kwa wingi. Hayo yamesemwa na wafanyabiashara wa mchele walipo kuwa wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamesema mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi…
30 April 2021, 12:01 pm
TACAIDS yawajengea uwezo wasichana kutambua haki zao
Na; Mariam Matundu. Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini TACAIDS chini ya uratibu wa masuala ya ukimwi kwa mtazamo wa kijinsia imetoa mafunzo kwa wasichana na wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi ili kuwapatia utambuzi wa haki zao za msingi katika maeneo yao. Akizungumza…
30 April 2021, 9:36 am
WWF yaishukuru Serikali kwa kushiriki juhudi utanzaji wa Mazingira
Na; Benard Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…
30 April 2021, 8:57 am
Wakazi Iyumbu wataka ufafanuzi wa asilimia 45 makato ya viwanja
Na; Mariam Kasawa. Wakazi wa mtaa wa Iyumbu Jijini Dodoma wameutaka uongozi wa mtaa huo kutoa ufafanuzi wa makato ya asilimia 45 wanazokatwa na jiji kwa kila kiwanja wanachopewa baada ya upimaji wa hivi karibuni bila kujali kipo kwenye makazi…
29 April 2021, 2:50 pm
Upungufu wa vituo vya huduma ya Afya ya uzazi kwa vijana warudisha nyuma mapamba…
Na; Mariam Matundu. Upungufu wa vituo vinavyotoa huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana umetajwa kuwa moja ya changamoto inayorudisha nyuma mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi . hayo yamesemwa na Rosemary Shani balozi wa wasichana balehe…
29 April 2021, 2:05 pm
Usalama wanafanya kila mbinu kushinda mechi mbili zilizobaki baada ya kuchapwa…
Na; Matereka Junior.
29 April 2021, 1:36 pm
Wafanyakazi waeleza matarajio yao kuelekea siku ya wafanyakazi (Mei mosi)
Na; Benard Filbert. Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei mosi matarajio ya wafanyakazi wengi nchini ni kuongezewa mishahara na kupandishwa madaraja ili kuboresha utendaji kazi kwa maslahi yao na nchi. Hayo yamesemwa na Bw.Yusuph Mhindi ambaye ni mmoja wa…
29 April 2021, 1:15 pm
Serikali yajipanga kuondoa mgao wa maji Nchini
Na;Yussuph Hans Serikali imesema inaendelea kujipanga kuhakikisha inaondoa adha ya mgao wa Maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Maji Mh MarryPrisca Mahundi wakati akijibu swali la Mbunge wa Ndanda Mh…
29 April 2021, 6:52 am
Wakulima watakiwa kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani, maendeleo…
Na; shani Nicolaus Wito umetolewa kwa wakulima kuwa na desturi ya kutoa taarifa kwa maafisa ugani kuhusiana na maendeleo ya mazao pamoja na aina ya viuatilifu vya kutumia kuhifadhia mazao yao. Akizungumza na Dodoma fm Afisa kilimo mkoa wa Dodoma…