Recent posts
27 May 2021, 2:32 pm
Jamii imetakiwa kushiri kikamilifu katika kupiga vita ukatili wa kijinsia
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kushirikiana kwa karibu na Serikali katika vita dhidi ya ukatili wa kijinsia zikiwemo mimba kwa wanafunzi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wanafunzi wa kike wa shule mbalimbali jijini hapa wamesema miongoni mwa sababu…
27 May 2021, 2:04 pm
Elimu ya ufundi ni kichocheo bora cha maendeleo endelevu Nchini.
Na;Mindi Joseph. Serikali imesema maendeleo ya viwanda na usatawi wa jamii hayawezi kuleta tija pasipo kuwa na usimamizi bora kwenye elimu ya ufundi kama kichocheo endelevu cha ukuaji wa uchumi nchini Tanzania. Akizungumza katika Ufunguzi kongamano la wadau wa elimu…
27 May 2021, 1:08 pm
Kata ya Nzuguni washangilia Neema ya umeme kupitia mradi wa REA
Na ;Victor Chigwada Wakazi wa mtaa wa Nzuguni A Jijini Dodoma wamepata matumaini ya kupata huduma ya nishati ya umeme baada ya zoezi la usambazaji nguzo kupitia mradi wa REA kuanza katika eneo hilo. Baadhi ya wakazi wa eneo hilo…
26 May 2021, 1:24 pm
TARURA wahakikisha ukarabati barabara Nzuguni Dodoma
Na; Yussuph Hans Wananchi wa Kata ya Nzunguni Jijini Dodoma wamehakikishiwa ukarabati wa Barabara za Kata hiyo kwa kiwango cha Lami kwa mwaka huu, kufuatia changamoto ya ubovu wa barabara inayowakabili kwa muda mrefu. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala…
26 May 2021, 1:15 pm
TARI watoa ushauri kilimo cha mihogo
Na; James Justine WATAALAMU kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), wamewashauri wakulima wa zao la muhogo kufuata ushauri wa kitaalam kwa ajili ya kupata mazao bora na yenye tija. Ushauri huo umetolewa na Mtafiti wa Mazao ya Mihogo…
26 May 2021, 1:07 pm
Serikali kuboresha Mifumo ya upatikanaji wa Pembejeo
Na; Yussuph Hans Serikali Nchini inaendelea kuboresha Mifumo ya upatikanaji wa Pembejeo ikiwemo Mbegu, Mbolea na Viuatilifu, kuratibu katika Mikoa pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya makampuni kuuza maeneo mbalimbali. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu…
26 May 2021, 12:59 pm
Wakazi Farkwa walazimika kupanda juu ya miti kupata mawasiliano ya simu
Na; Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Farkwa Wilaya ya Chemba wanakabiliwa na changamoto ya uhafifu wa mawasiliano ya simu za mkononi kutokana na uhaba wa minara Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa wanalazika kutafuta…
26 May 2021, 12:50 pm
Auawa na ndugu tuhuma ya wizi
Na; Thadey Tesha Mtu mmoja ameuawa na ndugu zake wa karibu Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakimtuhumu kujihusisha na vitendo vya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma SACP Gilles Muroto amemtaja marehemu kuwa ni…
26 May 2021, 12:45 pm
Maji safi na salama changamoto kata ya mkonze
Na; Mindi Joseph Wakazi wa mtaa wa Zinje Kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwapelekea maji safi na salama ili kuokoa afya zao kutokana na kutumia maji wanayochimba kwenye korongo ambayo si safi na salama. Taswira ya habari imezungumza…
25 May 2021, 12:10 pm
Wakazi wa kata ya makulu walalamikia kukosa huduma ya barabara
Na; Ramla Shabani Wananchi wa Mtaa wa Njedengwa Magharibi Kata ya Makulu jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea daraja pamoja na kuwakarabatia barabara za mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa korongo linalopita mtaani hapo limekuwa likisababisha…