Dodoma FM

Recent posts

25 June 2021, 1:35 pm

Asasi za kiraia zapongezwa mapambano dhidi ya dawa za kulevya

Na; Benard Filbert. Kamishna msaidizi wa kinga na huduma za jamii kutoka mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Bi.Moza Makumburi amezipongeza asasi mbalimbali za kiraia zinazoshirikiana na Serikali kuzuia matumizi na biashara hiyo nchini. Akizungumza na Dodoma…

25 June 2021, 1:24 pm

Serikali kuendeleza maboresho sera ya matibabu bure kwa wazee

Na;Yussuph Hans. Serikali imesema katika kuhakikisha wazee wanapata huduma bora ya matibabu, inaendeleza zoezi la utambuzi na kuwapatia vitambulisho ambapo mpaka kufikia Machi 2020/2021 Asimilia 87 ya makadirio ya Wazee wote nchini wamepatiwa Vitambulisho hivyo. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini…

24 June 2021, 8:15 am

Serikali yaombwa kutatua changamoto ya watumishi wa zahanati

Na; Victor chigwada Wananchi wa mtaa wa Chololo Kata ya Kikombo jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya uhaba wa watumishi kwenye zahanati na Shule ya msingi.Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema pamoja na kupaza sauti…

23 June 2021, 11:52 am

Serikali inakamilisha mkakati wa huduma ya mazoezi tiba nchini

Na; Yussuph Hans Serikali imesema inakamilisha mpango mkakati wa kutoa huduma ya mazoezi tiba nchini, kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo ikiwemo walio na ugonjwa wa kupooza. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger