Dodoma FM

Recent posts

15 July 2021, 11:53 am

Wakazi wa Chiwondo walazimika kutembea kilomita 6 kutafuta maji

Na; Benard Filbert. Changamoto ya ukosefu wa maji katika kijiji Cha Chiwondo Kata Ya Dabalo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma imetajwa kuwa kikwazo cha maendeleo kwa wakazi hao kutokana na kutembea zaidi ya kilomita 6 kutafuta huduma hiyo. Wananchi hao wameiambia…

15 July 2021, 11:38 am

Kampeni ya zero mogogoro ya ardhi Mkoani Dodoma yaongezewa siku

Na; Shani Nicolous. Baada ya uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuandaa kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma Serikali imeongeza siku ili zoezi hilo lidumu kwa muda wa mwezi mzima kwa ajili ya kuendelea kusikiliza na kutatua migogoro hiyo.…

14 July 2021, 1:49 pm

Wanaume wilayani Kongwa watakiwa kutambua majukumu yao katika familia

Na; Benard Filbert. Wanaume katika kata ya Chiwe wilayani Kongwa wametakiwa kuepuka kutelekezea wanawake majukumu ya familia ikiwemo kusomesha watoto na badala yake washiriki kwa pamoja. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata ya Chiwe Bw. Dastan Chinyali wakati akizungumza na…

14 July 2021, 12:16 pm

Wakazi wa Ihumwa waelezea imani yao dhidi ya chanjo ya Uviko 19

Na; Victor Chigwada. Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya dhana ya uchunguzi wa chanjo ya Uviko 19 ambayo bado haijathibitishwa kutolewa hapa Nchinini Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…

13 July 2021, 1:20 pm

Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger