Recent posts
20 July 2021, 12:20 pm
Wakazi wa Masinyeti waishukuru Dodoma fm kwa kuwasaidia kutatuliwa kero ya maji
Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Masinyeti kata ya Iduo wilayani Kongwa wameishukuru Dodoma redio kwa juhudi kubwa waliofanya ya kuripoti changamoto ya adha ya maji katika eneo hilo na hatimaye kuchimbiwa kisima cha maji na Wakala ya Usambazaji…
20 July 2021, 11:57 am
Ukosefu wa madarasa kwa shule za msingi watajwa kuwa chanzo cha matokeo mabaya M…
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa madarasa katika shule za msingi na sekondari wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma imetajwa kuwa chanzo cha matokeo mabaya kwa wanafunzi hivyo kusababisha Mkoa wa dodoma kushika nafasi ya tatu kutoka mwisho kitaifa. Akizungumza na Dodoma…
19 July 2021, 11:12 am
Serikali yatakiwa kushirikiana na mashirika binafsi ili kutokomeza vitendo vya u…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa serikali kutengeneza umoja na mashirika binafsi pamoja na jamii nzima ili kutokomeza vitendo vya ukatili nchini.Akizungumza na Dodoma fm meneja mradi wa shirika lisilo la kiserikli la {Action for community care} Bi, Stella Matemu…
19 July 2021, 10:35 am
Wakazi wa kijiji cha Nholli kuanza ujenzi wa zahanati
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Nholi kata ya Mpalanga wilayani Bahi wamekabidhiwa mifuko miatatu ya saruji kwaajili ya ujenzi wa zahanati.Wakizungumza na taswira ya habari wakazi wa kijiji hicho wamemshukuru mbunge wa jimbo la Bahi mh. Kenneth Nollo…
19 July 2021, 9:53 am
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ameisimamisha kazi kampuni ya upimaji wa ardhi eneo la Mi…
Na ;Benard Filbert. Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mh. Antony Mtaka ameisimamisha kampuni ya upimaji wa ardhi ambayo imekuwa ikitekeleza kazi zake eneo la kata ya Mkonze. Mtaka ametoa agizo hilo baada ya kusikiliza kero za wananchi wa mitaa mbalimbali…
16 July 2021, 1:43 pm
Wakazi jijini Dodoma wameiomba serikali kuangalia upya makato yanayo tozwa kwa s…
Na;Yussuph Hans. Wakazi Jijini Dodoma wamelalamikia ukubwa wa makato yanayotozwa kwa sasa katika miamala ya fedha kwa njia ya simu, huku wakiomba Serikali kuangali tena sheria hiyo upya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa makato…
16 July 2021, 1:12 pm
Shule zinazotoa elimu jumuishi zaiomba serikali kuboresha miundombinu
Na; Mariam Matundu. Walimu wanaofundisha shule zinazotoa elimu jumuishi katika Wilaya ya Bahi na Dodoma mjini wameiomba Serikali kuboresha miundombinu ya shule zao ili kuwezesha watoto wenye mahitaji maalumu kujifunza vizuri. Wamesema suala la uchache wa vyumba vya madarasa linasababisha…
16 July 2021, 12:48 pm
Wakazi Wilayani Chamwino watakiwa kutunza na kusimamia miradi ya maji
Na; Benard Filbert. Wakazi katika wilaya ya Chamwino wametakiwa kutunza na kuisimamia miradi ya maji ambayo imekuwa ikiratibiwa na wakala wa huduma za maji vijijini RUWASA ili kuepusha changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo. Hayo yameelezwa na meneja wa RUWASA…
16 July 2021, 11:36 am
Imeelezwa kuwa migogoro ya ardhi ni sababu inayo pelekea baadhi ya watu kushindw…
Na; Sani Nicolous. Pamoja na kwamba serikali bado inaendelea na kampeni ya kutatua migogoro ya ardhi lakini kuna baadhi ya maeneo wakulima na wafugali wapo katika migogoro mikali ya ardhi. Akizungumza na Dodoma fm Diwani wa kata ya Mpendo wilaya…
16 July 2021, 11:08 am
Wakazi wa Songambele A waishukuru serikali kwa kuwapatia fedha kwaajili ya ujenz…
Na; Victor Chigwada. Wananchi katika Kata ya Songambele A wameishukuru Serikali kwa kuwapatia fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya . Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa kata hiyo wamesema kuwepo kwa Zahanati kutarahisisha upatikanaji…