Recent posts
29 July 2021, 10:30 am
Jamii imetakiwa kuto puuza swala la kuandika wosia ili kuepusha changamoto zinaz…
Na; Shani Nicolous. Jamii imetakiwa kutokupuuza suala la kuandika wosia kuhusiana na masuala ya mirathi kwani kumekuwa na changamoto nyingi zinazojitokeza katika ugawaji wa mali za marehemu. Akizungumza na Dodoma fm kupitia kipindi cha Dodoma live msaidizi wa kisheria kutoka…
29 July 2021, 10:05 am
Serikali imetakiwa kuwakea mazingira mazuri ya kujinzia wanafunzi wenye ulemavu…
Na;Mariam Matundu . Ili kuondoa changamoto za kujifunza kwa wanafunzi Viziwi imeshauriwa kuwekewa mazingira mazuri ya kujifunzia ikiwemo kutungiwa mitihani yao maalumu katika baadhi ya masomo tofauti na wanafunzi wasio viziwi . Hayo yameelezwa na mwalimu wa somo la Kiswahili…
29 July 2021, 9:25 am
Homa ya ini yaelezwa kuua idadi kubwa ya watu Duniani kila mwaka.
Na;Mindi Joseph. Takribani watu 88,4000 hufariki kila mwaka kutokana na matatizo ya homa ya ini kwa mujibu wa Takwimu za shirika la afya Duniani. Kupitia taarifa ya Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto iliyotolewa kwa vyombo…
27 July 2021, 1:13 pm
Jamii yatakiwa kujifunza ili kuepusha matukio yanayo tokea
Na; Shani Nicolous. Kufuatia kwa matukio mbalimbali ya moto katika jamii hususani wanawake kuchoma nyumba za wananume kwa wivu wa mapenzi jamii imetakiwa kufunguka na kujifunza namna ya kuepusha matukio hayo. Akizungumza na Dodoma fm Mwanasaikolojia kutoka shirika la kisedet…
26 July 2021, 11:31 am
Serikali yaja na mpango wa kupunguza tozo za leseni kwa radio za jamii katika n…
Na; Mariam Matundu. Katika kuboresha huduma za mawasiliano kwa umma hususani kwa njia ya Redio wizara ya teknolojia ya habari na mawasiliano imesema inampango wa kupunguza tozo za leseni kwa radio za kijamii katika ngazi ya wilaya na maeneo ya…
26 July 2021, 10:59 am
Mashamba ya zabibu kuto guswa katika zoezi la upimaji ardhi Dodoma
Na;Mindi Joseph. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mhe.Jabir Shekimweri amesema Mkoa hautagusa mashamba ya kilimo cha zabibu wakati zoezi la upimaji wa viwanja likiwa linaendelea jijini Dodoma. Akizungumza na Taswira ya habari Mh Jabir amesema Mkoa wa Dodoma wote…
26 July 2021, 10:48 am
Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK wapelekea wanafunzi kutembea umb…
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa shule ya sekondari katika kata ya KK imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi wa kata hiyo hali inayowalazimu kutembea umbali wa kilomita 7 hadi kata ya BUSI kwa ajili ya masomo. Hayo yameelezwa na wakazi wa…
26 July 2021, 10:13 am
Wakazi wa Chamwino walalamikia ukosefu wa huduma bora za Afya kwa watu wa makund…
Na; Shani Nicolous. Wakazi wa Wilaya ya Chamwino jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa huduma bora za afya kwa watu wa makundi maalumu kama wazee, watoto ,akina mama wajawazito na walemavu. Wakizungumza na Dodoma Fm kupitia kipindi cha Dodoma live wamesema…
26 July 2021, 8:47 am
Wakulima wa zao la Mtama mkoani Dodoma wanufaika na masoko ya uhakika
MAKALA Na;Mhindi Joseph. Mtama ni miongoni mwa mazao ya nafaka yanayolimwa kwa wingi nchini na duniani kote. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara na lina stahimili hali ya ukame likilinganishwa na mazao mengine ya nafaka. Kutokana na…
23 July 2021, 12:58 pm
Wanasayansi watakiwa kuunganisha nguvu na serikali ili kuwakomboa wakulima
Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda amesema wanasanyansi wanatakiwa kuunganisha nguvu na serikali ili kusaidia kuwakomboa wakulima nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa wiki ya pass Trust Jijini Dodoma Mh Mizengo pinda amesema kilimo ni sanyasi hivyo…