Dodoma FM

Recent posts

15 March 2022, 2:07 pm

Wazazi watakiwa kusimamia Afya ya kinywa ya watoto wao

Na;Yussuph Hassan. Katika kuhakikisha Mtoto anapata makuzi bora ya afya ya kinywa, imeelezwa kuwa Mzazi ana wajibu wa kumsimamia Mtoto wake kuanzia umri wa Mwaka mmoja hadi kufikia umri wa miaka Tisa. Usafi wa kinywa hujumuisha usafi wa meno, fizi,…

15 March 2022, 1:52 pm

Wakazi wa Dodoma waaswa kuacha kuchimba mchanga katika viwanja vya watu

Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Dodoma wenye tabia ya kuchimba mchanga katika viwanja vya watu wametakiwa kuacha tabia hiyo kwani watachukuliwa hatua kali mara tu watakapokamatwa wakifanya vitendo hivyo Hayo yamesemwa na Afisa mazingira mkoa wa…

15 March 2022, 1:40 pm

Wazazi acheni kushinikiza watoto wajifelishe.

Na;Mindi Joseph .                                     Wazazi Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wametakiwa kuachana na tabia ya kuwashinikiza watoto kujifelisha katika masomo yao. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Elimu Michezo Wilayani humo Nicholaus Achimpota ambapo amesema hali hiyo inapelekea kurudisha nyuma maendeleo ya elimu…

10 March 2022, 3:14 pm

Jamii yatakiwa kuacha imani za kishirikina juu ya uchangiaji damu

Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuachana na imani za kishirikina juu ya suala la kuchangia damu ili kupunguza idadi ya wagonjwa wanaofariki kutokana na kukosa damu. Akizungumza katika mahojiano maalum na kipindi cha taswira ya habari Daktari kutoka katika hospitali…

10 March 2022, 2:38 pm

TBA yatakiwa kuharakisha mchoro wa jengo la ofisi

Na; Mariam Matundu. Katibu mkuu wizara ya maendeleo ya jamii ,jinsia ,wanawake na makundi maalumu Dkt Zainabu Chaula amewaomba wakala wa majengo ya serikali (TBA) kuharakisha taratibu za kupata mchoro wa jengo la ofisi za wizara hiyo ili ujenzi uanze…

7 March 2022, 1:46 pm

Jamii inahitaji zaidi Elimu ya Afya ya akili

Na; Benard Filbert. Wadau wa afya nchini wameombwa kuwekeza katika utoaji wa elimu ya afya ya akili kwa vijana ili kuwasaidia kuondokana na changamoto mbalimbali. Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za tiba kutoka wizara ya afya wakati akizungumza na…

7 March 2022, 1:28 pm

Wazazi watajwa kuwa chanzo cha watoto kuacha shule

Na; Neema Shirima. Imeelezwa kuwa baadhi ya wazazi wamekuwa chanzo cha watoto wao kutokukwenda shule kutokana na kutowanunulia vifaa vya shule pamoja na sare za shule Hayo yamesemwa na diwani wa kata ya Hombolo bwawani bwn Andrew Mseya wakati akizungumza…

7 March 2022, 12:43 pm

Serikali yaombwa kufanya ukarabati katika shule kongwe za msingi

Na; Mariam Matundu. Serikali imeombwa kufanya ukarabati wa majengo katika shule kongwe za msingi ili kukabiliana na changamoto ya uchakavu wa majengo unaoathiri ufundishaji hasa kwa watoto wenye ulemavu. Shule ya msingi Iboni iliyopo wilayani Kondoa ni miongoni mwa shule…

3 March 2022, 3:05 pm

Tanzania kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia

Na; Mariam Matundu. Tanzania imezihakikishia nchi za Umoja wa Afrika kuendelea kusimamia usawa wa kijinsia na uwezeshaji wa wanawake kiuchumi katika sekta mbalimbali na kuwawezesha kupata fursa katika sekta hizo Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger