Recent posts
1 March 2023, 5:14 pm
Nzelenze waiomba serikali huduma ya maji safi na salama
Hatua za kukabiliana na changamoto ya maji vijijini bado zinaendelea ili kuondokana na matumizi ya maji yaliyo tuama na visima vifupi ambayo ni hatari kwa afya za binadamu. Na Victor Chigwada Wananchi wa kitongoji cha Nzelenze Kata ya Itiso Wilaya…
1 March 2023, 4:47 pm
TPHPA kudhibiti viuatilifu bandia
Matumizi Sahihi na Salama ya Viuatilifu yanalenga kujali Afya ya Watu na Mazingira kwa maendeleo endelevu na Kulinda afya ya binadamu na mazingira kwa usimamizi endelevu na bora wa viuatilifu na afya ya mimea. Na Fred Cheti. Mamlaka ya Afya…
1 March 2023, 4:27 pm
Shule ya msingi Chihoni yapokea msaada wa vyandarua
Halmshauri ya jiji la Dodoma inaendelea na zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa wanafunzi wa shule za Msingi na awali ambapo jumla ya wanafunzi wapatao 122,000 kutoka shule 158 wanatarajiwa kupatiwa vyandarua. Na Fred Cheti. Wanafunzi wa Shule ya Msingi…
1 March 2023, 4:00 pm
Watendaji wa kata Bahi waishukuru Serikali
Hapo awali watendaji hao walikuwa na changamoto kubwa ya usafiri hasa katika kuzungukia kata zao lakini kwa sasa wanaweza kufuatilia mianya yote ya upotevu wa mapato kwa kutumia pikipiki walizopewa kuhakikisha wanakuza pato la halmashauri na serikali kwa ujumla. Na.…
28 February 2023, 6:18 pm
Serikali yasaini mkopo nafuu kuboresha huduma za Afya
Huduma zitakazo boreshwa ni pamoja na kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati. Na Pius Jayunga. Serikali ya Tanzania na Banki kuu…
28 February 2023, 5:59 pm
Kausha damu yawaliza wanawake Jijini Dodoma
Mikopo hiyo imepachikwa jina la kausha damu kutokana na maumivu wanayopata wakopaji kwa kuwa na riba kubwa ambayo imegeuka kuwa machungu. Na Mindi Joseph. Wanawake Kata yA Makole Jijini Dodoma wametajwa kuwa Waathirika wakubwa wa mikopo ya kausha damu na…
28 February 2023, 5:21 pm
Wanafunzi watembea zaidi ya kilomita 28 kufuata shule
Serikali imeombwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ili kurahisha upatikanaji shule hali itakayopunguza gharama kwa wazazi wanaosomesha watoto . Na Victor Chigwada Wanafunzi wa kata ya chiboli wilayani chamwino wanalazimika kutembea umbali wa zaidi ya km 28…
28 February 2023, 4:58 pm
Uzalishaji wa maji Dodoma waongezeka kwa asilimia 6.3
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira imefanikiwa kupunguza upotevu wa maji kutoka wastani wa asilimia 39.1 na kufika asilimia 28.3 Disemba mwaka 2022. Na Selemani Kodima . Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoani Dodoma DUWASA imetaja…
28 February 2023, 4:27 pm
Nollo kumwaga Madawati 800 shule za Msingi
Halmashauri ya wilaya ya Bahi ambayo kwa miaka mitatu mfululizo imekuwa na sifa kubwa katika idara ya elimu Msingi. Na Bernad Magawaa MBUNGE wa Jimbo la Bahi . Kenneth Nollo ameahidi kutoa madawati 800 ikiwa ni sehemu ya kuanza kupunguza…
27 February 2023, 4:16 pm
Vyombo vya habari vyatakiwa kutoa elimu
Wito kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kutunza vyanzo mbalimbali vya maji. Na Mindi Joseph. Wito umetolewa kwa vyombo vya habari nchini kutumia nguvu iliyonayo katika kutoa elimu kwa…