Dodoma FM
Ifahamu historia ya ‘Kisima cha Nyoka’
10 December 2024, 5:19 pm
Je kwanini kisima hiki kiliita jina hilo hapa wazee wa eneo hilo wanaeleza.
Leo Yussuph Hassan yupo kata ya Chang’ombe mtaa wa Mazengo akiangazia historia ya Kisima cha Nyoka kinachopatika katika eneo hili.