Dodoma FM

Matumizi ya mfumo 5s Kaizen waonesha matunda sekta ya afya

3 October 2024, 8:10 pm

Na Mindi Joseph.

Utekelezaji wa mfumo wa 5s Kaizen katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma General umechangia utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Muuguzi Mfawidhi wa hospitali hiyo Stanley Mahundo anasema kuwa mfumo huo ulianza kutumika mwaka 2015 .

Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bwn. Dodoma Stanley Mahundo
Sauti ya Bwn. Stanley Mahundo

Mshauri Mwandamizi wa mradi  huo unaoimarisha huduma za mama na mtoto katika ngazi ya Rufaa ya Mkoa Dodoma Farisi Masaule anasema ubora wa utoaji wa huduma kwa wananchi umeimarika.

Sauti ya Bwn. Farisi Masaule

Mfumo wa 5s Kaizen unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Ushirikiano la Japan JICA  umeboresha huduma za afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa wananchi.

Pichani ni moja ya mwananchi aliyenufaika na huduma ya afya kupitia mfumo wa 5s Kaizien
Sauti za wananchi
Pichani ni moja ya mwananchi aliyenufaika na huduma ya afya kupitia mfumo wa 5s Kaizien