Dodoma FM

Wananchi Mpwapwa wafurahia huduma za madaktari bingwa

26 September 2024, 7:51 pm

Wananchi wilayani Mpwapwa wanafurahia kupata huduma za madaktari bingwa waliokita kambi wilayani humo ili kuwahudumia wananchi kwa ukaribu zaidi. Uwepo wa madaktari hao umesaidia wananchi wasio na uwezo kupata huduma za madaktari bingwa pia kuepuka gharama za safari endapo wangepata huduma hizo nje ya wilaya ya Mpwapwa.

Sauti za wananchi

Aidha jopo hilo ya madaktari wanaeleza aina ya wagonjwa ambao wamewahudumia toka walipowasili wilayani humo.

Sauti za jopo la madaktari
Moja ya daktari bingwa akiwa katika wodi ya wagonjwa.