Miganga wadhamiria ujenzi wa ofisi Serikali ya Mtaa
13 September 2024, 7:34 pm
Na Mindi Joseph. Ujenzi wa ofisi ya serikali ya Mtaa katika mtaa wa Miganga kata ya Mkonze jijini Dodoma ambao umeanza kwa nguvu ya wanachi, unatarajiwa kukamilika mwaka 2025. Kukamilika kwa ujenzi huo kutaboresha utoaji wa huduma kwa ufanisi kwa wananchi hao.
Jitihada hizo zimefikiwa baada ya ofisi walizokuwa wanatumia awali kupitiwa na mradi wa barabara za mzunguko unaendelea kwa sasa jijini Dodoma.
Bw Rudovick Chogwe anaeleza ameeleza juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi kwa sasa ushiriki wa
Kukamilika kwa ujenzi huu utaboresha zaidi utaoji wa huduma bora na kwa ufanisi kwa wananchi ukilinganisha na kipindi cha sasa.