Dodoma FM
Dodoma FM
1 April 2022, 14:17
Na;Yussuph Hassan. Wakazi Jijini Dodoma wameshauriwa kuwa waadilifu katika matumizi ya Maji na kutoa taarifa panapotokea changamoto yoyote ya upatikanaji wa huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa na Meneja Ufundi wa Duwasa Emmanuel Mwakabore wakati akizungumza na kituo hiki kufatia kuwepo…
30 March 2022, 15:25
Na; Neema Shirima. Wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi juu ya zoezi la anuani za makazi maarufu kama postkodi ambalo linaendelea kwa sasa katika kata zote za mkoani hapa. Taswira ya habari imefika katika katika mtaa wa Itega…
28 March 2022, 15:14
Na; Neema Shirima. Wanafunzi wa kike wameshauriwa kuachana na kujihusisha na mapenzi ili kuepuka kupata magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile ukimwi Haya yamezungumwa ikiwa imesalia mwezi mmoja wanafunzi wa kidato wa sita kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu…
28 March 2022, 14:48
Na;Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto zao ikiwa ni pamoja na kutojitosheleza kwa huduma ya afya katika kata hiyo Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kwa sasa ongezeko…
28 March 2022, 14:30
Na;Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa Wazazi na Walezi Jijini Dodoma kuwapeleka vituo vya afya watoto wenye upungufu wa damu na maumivu ya viungo mara kwa mara, kwani inawezekana ikawa moja wapo ya dalili ya ugonjwa wa seli mundu (siko…
23 March 2022, 14:53
Na ;Victor Chigwada . Mbali na changamoto ya vyumba vya madarasa pamoja na walimu katika shule za msingi na sekondari lakini uhaba wa madawati nao umeongeza changamoto katika sekta ya elimu Kata ya Mpalanga Wilaya ya Bahi ni miongoni mwa…
23 March 2022, 14:39
Na;Yussuph Hassan. Kuelekea siku ya kifua kikuu Duniani march 24, imeelezwa kwa Serikali Mkoani Dodoma katika kutokomeza ugonjwa huo ilipanga kila baada ya miezi mitatu kuibua wagonjwa Elfu Moja, Mitatu Sitini na Mbili, kila baada ya miezi mitatu. Lengo…
23 March 2022, 14:19
Na; Mariam Matundu. Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika shule ya msingi Bahi sokoni wameishukuru serikali kwa kujengewa bweni la wasichana shuleni hapo kwani hatua hiyo itaongeza ari kwa wazazi ya kuwapeleka watoto shule. Baadhi ya wanafunzi hao wamesema iwapo bweni…
22 March 2022, 14:11
Na; Seleman Kodima Wito umetolewa kwa wananchi kutumia mwezi huu wa mfungo wa kwaresma kutenda matendo ya huruma kwa jamii ikiwemo kuwajali na kuwapa mahitaji watu wasiojiweza . Hayo yamesemwa na Vijana wa Kanisa la waadventista wa sabato kutoka kanisa…
21 March 2022, 14:17
Na; Yussuph Hassan . Dhana ya kuhusisha ugonjwa wa kifua kikuu na imani potofu, imeelezwa kuwa dhana hiyo kwa kiasi kikubwa imekuwa ikididimiza juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo. Dhana hii ni kufatia baadhi ya jamii kuamini…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-