Dodoma FM
Dodoma FM
30 May 2022, 16:34
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari na Msingi kata ya bahi unaendelea ili kuhakikisha wanatatua changamoto ya Madarasa kwa wanafunzi. Akizungumza na Taswira ya habari Diwani wa kata hiyo Bw,Agustino Ndonuu amesema wananchi wameunganisha nguvu kwenye jitihada…
27 May 2022, 15:22
Na;Mindi Joseph. Wananchi wa kitongoji cha Magaga wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya miundombinu ya Barabara Kutoka Magaga kuelekea Mvumi pamoja na kuwajengea Daraja. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema changamoto hii inawaathiri katika shughuli zao za maendeleo na wameomba Serikali…
27 May 2022, 14:58
Na;Yussuph Hassan. Jamii imeshauriwa kutofumbia macho ajali mbalimbali zinazoathiri macho kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha uoni ambao unaweza kusababisha upofu baadae. Ushauri huo umetolewa na Bingwa wa Magonjwa ya Macho kutoka kliniki ya Cvt Dodoma Dkt Nelson Mtajwaa wakati akizungumza…
27 May 2022, 14:45
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema takriban hekta laki nne ( 469,420) za misitu huharibiwa kila mwaka Nchini. Akizungumza leo jijini Dodoma na Waandishi wa Habari Waziri Jafo…
26 May 2022, 11:43
Na;Mindi Joseph. Wananchi wa Mtaa Chididimo Kata Zuzu wameiomba halmashauri ya jiji la Dodoma kuwashirikisha kikamilifu katika suala la kutaka kununua mashamaba yao kwa ajili ya kufanya kilimo cha kisasa cha zao la zabibu. Wameyasema hayo wakati wakizungumza mbele ya…
26 May 2022, 09:14
Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa barabara za mitaa katika kata ya Kingiti imekuwa adha kubwa kwa wananchi hivyo wanaiomba mamlaka ya barabara za vijijini TARULA kuwasaidia kuchonga barabara hizo. Barabara za mitaa Ni muhimu katika jamii kwani zinasaidia kuweka mazingira…
19 May 2022, 15:29
Na;Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa halmashauri Nchini kutenga maeneo maalum kwa ajili ya shughuli za kukuza bunifu zinazofanywa na wabunifu mbalimbali. Wito huo umetolewa na makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango katika kilele cha…
19 May 2022, 15:20
Na; Victor Chigwada. wananchi wa Kata ya Ihumwa wilaya ya Dodoma mjini wameanza kuchukua jitihada za kuanzisha ujenzi wa vyumba vya madarasa kutokana na wingi wa wanafunzi katika shule ya msingi Ihumwa A . Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na…
19 May 2022, 15:12
Na;Mindi Joseph. Wabunifu wameiomba serikali kuendelea kuwawezesha ili kuendeleza Bunifu zao kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maendeleo ya Taifa. Taswira ya habari imezungumza na Mkufunzi wa mafunzo ya matengenzo ya ndege kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Juma Msofe…
18 May 2022, 15:21
Na;Yussuph Hassan. Imeelezwa kuwa bunifu 26 kati ya 200 zilizoendelezwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH) zimefanikiwa kuwa bidhaa na kutumika katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo maji na nishati. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-