Recent posts
13 April 2021, 11:31 am
Ujenzi wa Bomba la Mafuta utachangia kukuza uchumi wa Tanzania
Na ;Benard Filbert. Kuanza kwa ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima Nchini Uganda hadi Tanga Tanzania mwishoni mwa mwezi huu kunatarajiwa kufungua fursa za kiuchumi kwa watanzania wengi. Hayo yamebainishwa na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na…
13 April 2021, 10:11 am
Wakazi wa Dodoma wametakiwa kutokuogopa kula mboga za majani
Na; Shani Nicolous. Kufuatia kutoaminika kwa mboga za majani zinazouzwa katika masoko yaliyopo jijini Dodoma wafanyabiashara wa mbogamboga wamezungumza na kutolea ufafanuzi juu ya ubora wa mboga hizo. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wamesema kuwa mboga hizo zinalimwa sehemu…
13 April 2021, 8:56 am
Mlebe walia na ukosefu wa maji na umeme kijijini hapo
Na ;Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Mlebe Wilaya ya Chamwino wametoa shukrani kwa wakala wa usimamizi wa barabarani vijijini TARURA kwakupunguza adha ya ubovu wa barabara kijijini hapo. Wakizungumza na Taswira ya habari Wananchi hao wamesema kuwa wanaishukuru TARULA…
12 April 2021, 2:06 pm
Ligi ya wilaya yaanza jijini Dodoma
Na; Matereka Junior Ligi ya wilaya imeanza rasmi jana na mechi ya ufunguzi imewakutanisha kati ya WAGONGA NYUNDO 3-0 NZUGUNI RANGERS. Katibu wa DUFA, Omarooh Omar amezungumzia kuanza kwa ligi hii. CLIP OMAROH
12 April 2021, 1:44 pm
Mzee Mwinyi amtembelea Rais Samia Nyumbani kwake
Na; Mariam Kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Aprili, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi ambaye amempongeza kwa kuanza vizuri majukumu…
12 April 2021, 12:48 pm
Wananchi changamkieni fursa , Bomba la mafuta la hoima
Na; Mariam Matundu. Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka wananchi kujitokeza kuchangamkia fursa ambazo zitajitokeza Katika Hatua zote za Utekelezaji wa Ujenzi wa Mradi wa kimkakati wa Bomba la Mafuta la hoima Mpaka Tanga ambao unaanza Mwezi huu .…
12 April 2021, 12:05 pm
Taasisi Jijini Dodoma zahimizwa kufuatilia upandaji na ukuaji wa miti
Na; Benard Filbert. Taasisi zinazojihusisha na upandaji wa miti katika kukijanisha jiji la Dodoma zimetakiwa kuhakikisha zinapanda na kufuatilia ili kujua maendeleo ya miti hiyo. Hayo yanajiri kufuatia taasisi mbalimbali kushiriki katika kampeni ya kukijanisha jiji la Dodoma kwa kupanda…
12 April 2021, 11:33 am
Wasichana wahimizwa kutambua umuhimu wa masomo ya Sayansi
Na; Yussuph Hans Licha ya uhaba wa Wanafunzi wa Kike kusoma Masomo ya Sayansi Nchini, bado kuna changamoto mbalimbali zinazowakabili baada ya kuhitimu Masomo hayo. Hayo yamebainishwa na Afisa Mpango Ujenzi wa Nguvu za pamoja na harakati kutoka Mtandao wa…
12 April 2021, 9:13 am
Wanawake na nafasi za juu katika uongozi
Na; Mariam Kasawa. Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambayo imekuwa ikiwapa kipaumbele wanawake hasa katika nyaja ya uongozi. Akizungumza leo katika kipindi cha Dodoma live Bi. Gloria Mafole wakili mchambuzi wa sera kutoka katika Jumuiya ya kikristo Tanzania amsema wanawake…