Recent posts
27 April 2021, 9:21 am
Wananchi waomba kupatiwa elimu juu ya katiba
NA; Shani Nicoalus Wananchi jijini Dodoma wametoa wito wa kupatiwa elimu juu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutokana na kutoifahamu ipasavyo. Hatua hii imefikiwa baada ya hivi karibuni Halmashauri kuu ya Chama cha…
27 April 2021, 8:53 am
Akina mama wajawazito washauriwa kutumia unga ulioongezwa virutubishi
Na;Jayunga Pius Wanawake walio katika umri wa kujifungua wameshauriwa kutumia chakula aina ya ugali unatokana na unga ambao umeongezwa virutubishi ili kuepuka kujifungua watoto walio na matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwemo kichwa kikubwa na mgongo wazi. Ushauri huo umetolewa na…
27 April 2021, 6:22 am
Nagulo Bahi Zahanati bado kizungumkuti
Na; Seleman Kodima. wakazi wa Nagulo Bahi wamelalamikia kukosa huduma ya Afya kijijini hapo hali inayopelekea kutembea umbali mrefu kwenda kutafuta huduma ya Afya. Wananchi hao wameelezea jinsi walivyo jitahidi kufanya juhudi ili wapate kituo cha Afya kijijini hapo lakini…
27 April 2021, 6:10 am
Tanzania yaadhimisha miaka 57 ya muungano
Na,Mariam Matundu. Ikiwa Tanzania imeadhimisha miaka 57 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,imeelezwa kuwa changamoto 15 kati ya 25 za muungano zimetatuliwa . Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango wakati akifungua kongamano la maadhimisho ya miaka…
26 April 2021, 7:03 am
Uongozi wa kata ya Mnadani waahidi kutatua kero ya barabara
Na; Alfred Bulahya Wananchi wa kata ya Mnadani jijini Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano pamoja na kuwa wavumilivu, wakati uongozi wa kata hiyo ukifanya jitihada za kutatua kero ya ubovu wa miuno mbinu ya barabara za mtaa ili kusaidia kufanikisha zoezi…
26 April 2021, 6:28 am
Wakazi Handali walalamikia kukosa mtendaji
Na, Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Handali Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wametoa malalamiko yao ya kutokuwa na mtendaji hali inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yao. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa kukosekana kwa mtendaji…
26 April 2021, 5:52 am
Wakazi wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi wa boresha lishe
Na; Selemani Kodima. Wakazi wa kijiji cha Chanhumba wilayani Chamwino wamesema wanatarajia kupata Elimu zaidi juu ya Lishe bora kupitia mfululizo wa Vipindi vya Redio vya Dodoma fm ili kusaidia kupunguza hali ya udamavu katika maeneo yao . Wakizungumza na…
23 April 2021, 2:58 pm
Rais Samia Suluhu afanya uteuzi mwingine
Na; Ikulu Mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Dkt. Swai anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi…
23 April 2021, 10:42 am
Uhaba wa Alizeti wachangia mafuta ya kula kupanda bei
Na; SALIM KIMBESI. Wafanyabiashara wa mafuta ya kupikia katika soko la Majengo jijini Dodoma wamesema kuwa uhaba wa zao la alizeti ndio umechangia bei ya bidhaa hiyo kupanda. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wafanyabiashara hao wamesema kuwa, upatakanaji wa…
23 April 2021, 10:24 am
Kusudio la Rais Samia la kukutana na viongozi wa vyama vya siasa litasaidia ku…
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa azma ya rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu ya kukutana na viongozi wa vyama vya siasa Nchini itasaidia kuleta maelewano baina ya serikali na vyama vingine vya siasa. Akizungumza na Taswira ya…