Dodoma FM

Recent posts

19 April 2021, 12:48 pm

Serikali yatenga fedha kuimarisha usimamizi na uratibu wa lishe

Na; Mariam Matundu Serikali kupitia Halmashauri nchini imetenga shilingi elfu moja(1000) kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano ili kutekeleza afua mbalimbali za lishe ikiwemo kuanzisha kamati elekezi yenye lengo la kuimarisha usimamizi na uratibu wa suala la…

19 April 2021, 12:19 pm

Ushirikiano watakiwa kukomesha wizi wa maji Dodoma

Na; Benard Filbert. Wenyeviti wa mitaa katika jiji la Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya maji DUWASA ikiwepo kutoa taarifa za watu wanaojiunganishia maji kinyume na sheria. Hayo yanajiri kufuatia agizo la mkuu wa Mkoa Dkt.Binilith Mahenge alilolitoa hivi…

19 April 2021, 11:43 am

Serikali yaombwa kupunguza bei nishati mbadala

Na; Thadei Tesha. Gharama kubwa za nishati rafiki kwa mazingira ikiwemo gesi, zimetajwa kuchangia uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutozimudu. Hali hii imechangia wananchi wengi kuendelea kutumia nishati ya mkaa na kuni ambazo zinasababisha uharibifu wa mazingira. Wananchi…

19 April 2021, 5:41 am

Rais Samia awashukia wabunge kuhusu mijadala isio na tija kwa taifa

Na ; Mariam kasawa      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.  Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na mijadala inayoendelea bungeni ya kumlinganisha na mtangulizi wake,   hayati John Magufuli. Akizungumza jana Jumapili Aprili 18, 2021 katika kongamano la viongozi wa dini,  …

16 April 2021, 12:42 pm

Waandishi tumieni kalamu zenu kuhamasisha maendeleo ya Nchi.

Na; Benard Filbert. Wito umetolewa kwa waandishi wa habari nchini kutumia kalamu zao ili kuhamasisha maendeleo ya Nchi na si vinginevyo. Wito huo umetolewa na msemaji mkuu wa serikali na mkurugenzi wa idara ya habari maelezo Mh. Gerson Msigwa wakati…