Dodoma FM

Recent posts

4 February 2022, 3:55 pm

Ubovu wa barabara wakwamisha baadhi ya shuguli za maendeleo

Na; Victor Chigwada. Kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha Jijini hapa maeneo mengi yenye barabara za kawaida hususani vijijini yamekuwa yakiathirika kwa kiasi kikubwa na hata kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo. Wananchi wa Kata ya Loje ni miongoni mwa…

2 February 2022, 4:20 pm

Wakazi wa Zuzu waomba serikali iboreshe miundombinu ya barabara.

Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Pinda katika kata ya Zuzu jijini Dodoma wameiomba serikali iwaboreshee miundombinu ya barabara katika mtaa huo . Wamesema hali ya barabara hasa kwa kipindi cha mvua imekuwa changamoto kwani wakati mwingine wanashindwa kupita…

2 February 2022, 4:05 pm

Wafanyabiashara wa vyakula watakiwa kufuata sheria ya Afya ya jamii

Na; Benard Filbert. Idara ya afya katika jiji la Dodoma imeanza oparesheni ya ukaguzi wa maeneo yanayotumika kuuzia vyakula na vinywaji  katika kata zote lengo ikiwa kuwataka wauzaji hao kufuata sheria ya afya ya jamii ya mwaka 2009. Hayo yameelezwa…

31 January 2022, 4:02 pm

Viongozi watakiwa kuwa mstari wa mbele kuhimiza usafi katika maeneo

Na ;Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini hapa  wamesema ili kuhakikisha suala la usafi linapewa kipaumbele katika mitaa mbalimbali ya jiji viongozi wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhimiza suala hilo. wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi jijini hapa…

31 January 2022, 3:19 pm

Umbali mrefu wa kufika shule wapelekea wanafunzi kuacha shule.

Na; Neema Shirima. Imeelezwa kua umbali mrefu wa kufika shuleni umekuwa ni chanzo cha utoro kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Zuzu. Hayo yamesemwa na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Chididimo katika kata ya Zuzu ambapo wamesema inawalazimu…

27 January 2022, 3:34 pm

Ucheleweshaji wa miradi hurudisha nyuma matumaini ya wananchi

Na; Thadei Tesha. Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea mwitikio wa wananchi kuchangia nguvu kazi katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo kuwa mdogo  ni pamoja na baadhi ya viongozi kusuasua kukamilisha miradi hiyo. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya…

27 January 2022, 2:45 pm

Wakazi wa Nzasa waiomba serikali iwasaidie kukamilisha ujenzi wa shule

Na ;Victor Chigwada. Wanafunzi wa kijiji cha Nzasa Kata ya Chiboli hulazimika kutembea kila siku  Zaidi ya kilomita 15 kuifata shule ilipo. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa umbali mrefu umekuwa changamoto kwa wanafunzi wa umri…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger