Dodoma FM
Lishe bora ni muhimu kwa vijana balehe
29 October 2024, 8:05 pm
Na Mariam Matundu.
Lishe bora kwa vijana balehe ni muhimu ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya mwili wa kijana.
Imeelezwa kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuzingatia lishe bora kwa kundi la vijana balehe wa miaka 10 hadi 19 ili kutengeneza ukuwaji wao pamoja na vizazi vyao .
Maafisa Lishe Bi. Khadija Boi na Bwn. Anyandwilwe Msokwa kutoka Wizara ya Afya wanaeleza umuhuhimu wa lishe bora kwa kundi la vijana balehe.