Dodoma FM

Nawa mikono uwe salama kiafya

15 October 2024, 7:28 pm

Na Anwary  Shabani.                    

Kunawa mikono mara  kwa mara ni moja ya kanuni ya afya inayosaidia jamii kuepuka magonjwa yatokanayo na bakteria.

Ikiwa  leo ni Oktoba 15, siku ya kunawa mikono duniani, wananchi jijini Dodoma wanaeleza umuhimu wa kunawa mikono mara inasaidia kujikinga dhidi ya magonjwa.

Pichani mwananchi akieleza umuhimu wa kunawa mikono
Sauti za wananchi
Pichani mwananchi akieleza umuhimu wa kunawa mikono