Dodoma FM

Jiepushe na fedheha ya picha za faragha

24 September 2024, 8:31 pm

Na Leonald Mwacha

Afisa Dawati la Jinsia Mkoa wa Dodoma Michael Sabuni ameitaka jamii kujiepusha na tabia ya kuchukua au kurekodi picha za utupu  za faragha ili kuepuka changamoto zinazoweza kujitokeza  na kitendo hicho.

Fuatilia mazungumzo haya na Leonard Mwacha  akifanya mahojiano na  Afisa Dawati la Jinsia Mkoa wa Dodoma Michael Sabuni ambapo anaanza kuelezea kundi ambalo ni wahanga wa tatizo.

Leonald Mwacha wa Dodoma TV akifanya mahojiano na Afisa Dawati la Jinsia Mkoa wa Dodoma Michael Sabuni
Sauti ya Leonald Mwacha akifanya mahojiano na Bwn. Michael Sabuni