Dodoma FM

Vijimambo! Kamera ya siri yagundulika bafuni ndani ya kanisa

18 September 2024, 7:42 pm

Yapo matukio ambayo ukiyasikia jinsi yalivyotokea inakuacha mdomo wazi na bila shaka utayapa jina la vijimambo!

Na Yusuph Hassan.

Katika hali isiyokuwa  ya kawaida, Mchungaji Mstaafu aitwae Will Johnson wa Michigan nchini Marekani ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Ibada wa Kanisa, amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuweka kamera ya siri ndani ya bafu la kanisa linalojulikana kwa jina la 2|42 Community Church.

Yusuph Hassan anasimulia tukio hili

Sauti ya Yusupj Hassan
Mchungaji Mstaafu Will Johnson wa Michigan Nchini Marekani ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Ibada wa Kanisa, la 2|42 Community Church.