Dodoma FM

Taharuki ya simba Nzuguni

13 September 2024, 7:28 pm

Picha kionesha maeneo ya Nzuguni

Dodoma ni sehemu ya mapitio ya wanyama pori hivyo suala la uwepo wa wanyama pori katika baadhi ya maeneo litaendelea kujitokeza.

Na Thadei Tesha.

Afisa Maliasili wa Jiji la Dodoma Bw. Vedasto Millinga amekiri uwepo wa baadhi ya wanyama pori katika baadhi ya maeneo ikiwemo Nzuguni huku akieleza hatua walizochukua kukabiliana na wanyama hao.

Bwn.Vedasto Millinga Afisa Maliasili Dodoma

Aidha Bw. Vedasto amesema kuwa Dodoma ni sehemu ya mapitio ya wanyama pori hivyo suala la uwepo wa wanyama pori katika baadhi ya maeneo litaendelea kujitokeza na pia ameshauri hatua za kuchukua endapo wananchi watakaona wanyamapori katika maeneo yao.

Sauti ya Bw. Vedasto Milinga

Wananchi Nzuguni jijini Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu pamoja na kuimarisha ulinzi katika maeneo yaliyo karibu na hifadhi za wanyama ili wasiweze kuleta athari kwa wananchi.

Sauti za wananchi