
Radio Tadio
5 December 2023, 6:56 pm
Matukio ya fisi kushambulia mifugo na binadamu yameendelea kushika kasi wilayani Sengerema licha ya jitihada za serikali na mamlaka za wanyamapori kukabiliana na wanyama hao lakini bado fisi na mamba imekuwa tishio. Na:Emmanuel Twimanye Kundi la fisi limevamia kwa mkazi…