Dodoma FM

Mkoa wa Dodoma unashika nafasi yapili vitendo vya ukatili wa kimwili

17 July 2024, 4:59 pm

Picha ni wakili kutoka kituo cha Sheria na Haki za binadamu Dodoma Hidaya Haonga.Picha na Alfred Bulahya.

Hii ni kufuatia ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini uliyoangazia haki za kisiasa,kiuchumi na kijamii Tanzania bara na visiwani.

Na Alfred Bulahya.
Mkoa wa Dodoma umetajwa kushika nafasi ya pili kwa vitendo vya ukatili wa kimwili huku wanawake wakitaja kuwa ndio wahanga wakubwa wa vitendo hivyo.

Hii ni kufuatia ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini uliyoangazia haki za kisiasa,kiuchumi na kijamii Tanzania bara na visiwani iliyotolewa kituo cha sheria na haki za binadamu kwa mwaka 2023.

Kufahamu ripoti hiyo Mwandishi wetu Alfred Bulahya amezungumza na wakili kutoka kituo cha Sheria na Haki za binadamu Dodoma Hidaya Haonga.