RUWASA na CBWSO Kondoa kupunguza vyombo vya maji kutoka 44 hadi 10
15 November 2023, 5:07 pm
Mkutano huo utasaidia kuboresha upatikana wa huduma ya maji wilayani humo.
Na Nizar Mafita.
Wakala Wa Maji Safi Na Usafi Wa Mazingigra Vijijini Wilaya Ya Kondoa Kwa Kushirikiana Na Ruwasa Mkoa Wa Doddoma Pamaoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwso S Wamejadili Kupunguza Vyombo Vya Maji Kutoka Vyombo 44 Mpka Kufikia Vyombo 1o Wilyani Kondoa
Hayo Yamepitishwa Katika Mkutano Mkuu Wa Nusu Mwaka Wilyani Kondoa Uliowakutanisha Wadau Wa Maji Pamoja Na Vyombo Vya Watoa Huduma Ya Maji Ngazi Ya Jamii Cbwsos, Akifunguwa Mkutano Huu Mgeni Rasmi Mkuu Wa Wilaya Ya Kondoa Dr Khamisi Mkanachi Amesema Kufanyika Kwa Mkutano Huo Kutasaidia Kufanya Maboresho Ya Huduma Ya Maji
Akieleza Dhima Kuu Ya Mkutano Huu Meneja Rusawa Wilaya Ya Kondoa Eng Majid Mtil Ni Kuwajengea Uwezo Jumuiya Za Cbwso Huku Akisema Wanaziunganisha Jumuiya Hizo Kwa Kurahisisha Uendeshaji Wa Jumiya
Akipongeza Jumuiya Ya Maji Ntomoko Afisa Maendeleo Ya Jamii Ruwasa Mkoa Wa Dodoma Pressila Mkilanya Ameseam Ntomko Imekuwa Na Historia Nzuri Ya Kuendesha Huduma Ya Maji Kwa Jamii Huku Akieleza Sababu Za Jumuiya Zingine Za Maji Kushindwa Kufanikiwa
Kwa Upande Wake Mhandisi Asha Mahamud Amesema Katika Miradi Ya Maji Kumekuwa Na Changamoto Hinyo Kuwapelkeea Kuuna Kamati Za Malalamiko Ili Kupunguza Changamoto Hizo