Dodoma FM
Bilion 20.6 zatarajiwa kujenga eneo la kupumzikia Swaswa
30 August 2023, 4:18 pm
Inasemekana bwawa hilo limekauka kutokana na shughuli za kibinadamu zilizokuwa zikifanyika katika eneo hilo ikiwemo shughuli za kilimo.
Na Mindi Joseph.
Shilingi Bilion 20.6 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Mradi wa eneo la Kupumzikia baada ya Bwawa la Swaswa lililopo kata ya Ipagala jijini Dodoma kukauka.
Shughulii za kibinadamu ikiwemo ujenzi na kilimo zimechangia kukauka kwa bwawa hili.
Mwenyekiti wa mtaa wa swaswa anazungumzia ujio wa mradi huo baada ya kukauka kwa Bwawa Hilo.
Huyu ni Mkulima ambaye alikuwa anategemea bwawa hilo la swaswa kulima naye alikuwa na haya ya kusema.