Recent posts
12 January 2021, 8:16 am
Baobab Queens ni wa moto kweli kweli
Dodoma Timu ya Baobab Queens ya Dodoma imeibuka na ushindi wa bao 6-1 dhidi ya TSC Queens ya Mwanza katika mechi ya ligi kuu soka ya Wanawake iliyopigwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Ikiwa na kikosi cha wachezaji…
12 January 2021, 7:48 am
TBS na WMA watakiwa kufanya kazi kwa uadilifu
Dodoma. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Geoffrey Mwambe amewataka watumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya kazi kwa uadilifu na kuwafikiria wafanya biashara wakati wakitoa huduma ili kuendelea kutengeneza taswira nzuri ya bidhaa za…
11 January 2021, 2:02 pm
Ubovu wa barabara Mazae wakwamisha maendeleo
Na,Benard Filbert Dodoma. Ubovu wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Mazae Wilayani Mpwapwa imetajwa kuwa kero hali ambayo inasababisha kushindwa kufanyika kwa shughuli za kimaendeleo.Mmoja wa mkazi wa mtaa wa mazae akizungumza na taswira ya habari amesema hivi sasa…
11 January 2021, 12:45 pm
Bei ya mafuta ya alizeti yapaa
Na,Shani, Dodoma Imeelezwa kuwa kupanda kwa bei ya mafuta ya kula hususan ya alizeti kumechangiwa na mvua kubwa iliyonyesha msimu uliopita.Hayo yameelezwa na wafanyabasara katika soko la Majengo jijini Dodoma wakati wakizungumza na Dodoma Fm ambapo wamesema alizeti imeadimika kutokana…
5 January 2021, 3:21 pm
Wananchi Chilonwa waomba kukarabatiwa daraja
Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wakazi wa kijiji cha Mahama Kata ya Chilonwa Wilayani Chamwino wameiomba Serikali kufanya ukarabati wa daraja lililopo kati ya kijiji cha mahama na Nzali ili kuondoa adha ya usafiri wanayokutana nayo kipindi cha mvua za masika.Wakizungumza na…
22 December 2020, 12:41 pm
Uhaba wa mbegu za maboga wapunguza matumizi
Na,Timotheo Chiume, Dodoma. Upatikanaji mdogo wa mbegu za maboga jijini Dodoma umezifanya kutotumiwa kwa wingi na watu wanaozihitaji kwa ajili ya chakula na lishe.Pamoja na changamoto hiyo uhitaji na watumiaji wanaongezeka kila siku kutokana na kutambua faida zitokanazo na mbegu…
22 December 2020, 12:23 pm
Waiomba Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki
Na,Thadey Tesha, Dodoma Baadhi ya wafanyabiashara wa kuku katika soko la Changombe jijini hapa wameiomba Serikali kuwatengenezea mazingira rafiki ya kuuzia bidhaa zao kutokana na eneo lililopo kutotosheleza mahitaji. Wakizungumza na Taswira ya habari wafanyabiashara hao wamesema kwa sasa mazingira…
21 December 2020, 2:47 pm
Waziri wa Maji afanya ziara ya kushtukiza kukagua uchimbaji visima
Na,Mindi Joseph, Dodoma. Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa maji wa Mzakwe wenye thamani zaidi ya milioni 200 unaotarajiwa kuzalisha maji lita laki nne kwa saa katika kuendelea kupunguza adha ya maji kwa Mkoa wa…
19 December 2020, 7:20 am
Abdulaziz Makame kuondoka Yanga
Dar es Salaama. KIUNGO mkabaji wa Klabu ya Yanga Abdulaziz Makame yupo kwenye mpango wa kutua kwa mkopo ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. Taarifa zinadai kuwa mpaka sasa ni timu mbili zinahitaji kupata huduma yake ikiwa ni Polisi Tanzania …
18 December 2020, 3:52 pm
Adha ya maji Matumbulu kuwa Historia
Na, Benard Filbert, Dodoma. Ili kuondokana na changamoto ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Matumbulu Mkoani Dodoma Serikali imeelekeza nguvu zake katika kutatua adha hiyo ili kuleta unafuu kwa wananchi.Akizungumza na taswira ya habari afisa mtendaji wa Kata hiyo…