Recent posts
1 July 2021, 12:48 pm
Mwitikio mdogo wa Elimu katika kata ya Farkwa wapelekea wanafunzi kushindwa kuji…
Na; Victor Chigwada. Mwitikio mdogo wa elimu katika kata ya Farkwa Wilayani Chemba ni changamoto inayopelekea wanafunzi kushindwa kujiunga na masomo ya sekondari kwa shinikizo la wazazi. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema ni kweli suala…
1 July 2021, 11:07 am
Matumizi makubwa ya nishati ya mkaa na kuni yatajwa kuwa chanzo kikuu cha uharib…
Na;Mindi Joseph . Matumizi ya kuni na Mkaa huchangia miti mingi kukatwa na kusababisha uharibifu wa mazingira. Kwa mujibu wa ripoti ya Hali ya Upatikanaji wa Nishati iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2016 inaonyesha kuwa asilimia 88.2…
1 July 2021, 10:54 am
Wasichana wametakiwa kusoma kwa bidii masomo ya sayansi ili kupata fursa katika…
Na;Yussuph Hans. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanyika kuleta usawa Nchini bado kuna Changamoto kwa wanawake katika kusomea Masomo ya Sayansi pamoja na kupewa fursa katika Miradi ya maendeleo ukilinganisha na Wanaume. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa Programu kutoka Mtandao…
1 July 2021, 6:20 am
Uhaba wa maji wapelekea wakazi wa Lugala kushea vyanzo vya maji na wanyama
Na; Benard Filbert. Afya za Wakazi wa Mtaa wa Lugala jijini Dodoma zipo hatarini kutokana na kutumia vyanzo vya maji pamoja na wanyama. Uhaba wa upatikanaji wa huduma ya maji katika mtaa huo ndio imepelekea wakazi hao kufanya hivyo.Wakizungumza na…
29 June 2021, 2:09 pm
Wakazi wa Handali waiomba serikali kuwapelekea wataalam wa uchimbaji madini.
Na ;Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Handali iliyopo Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwapelekea wataalamu wa musuala ya madini ili kuwapatia elimu ya uchimbaji itakayo wawezesha kuchimba kwa ufanisi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…
29 June 2021, 12:56 pm
Tanzania yazindua mpango wa Tatu wa maendeleo ya Taifa
Na;Yussuph Hans. Tanzania imezindua mpango wa tatu wa Maendeleo kwa Taifa wa miaka mitano 2021 – 2026. Mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa umegharimu Tsh Trilion 114.8, sekta binafsi ikichangia Tsh Trilion 40.6 huku sekta ya umma ikichangia Tsh…
29 June 2021, 12:38 pm
Serikali za mitaa na Mikoa zatakiwa kusimamia utekelezaji wa kanuni za usimamizi…
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amezitaka mamlaka za serikali za mitaa na Mikoa kusimamia utekelezaji wa kanuni za usimamizi wa mazingira katika udhibiti wa kelele na mitetemo ili kulinda afya za…
29 June 2021, 12:07 pm
Siku miamoja za uongozi wa rais Samia ,wachambuzi na wananchi wazungumzia maende…
NA; SHANI NICOLOUS . Kufuatia siku mia moja za Mh. Rais Samia Suluhu Hassan baadhi ya wananchi wamekuwa wakizungumzia kwa marefu na mapana maendeleo ya nchi katika nyanja mbalimbali. Akizungumza na Dodoma fm mchambuzi wamasuala ya kisiasa jijini Dodoma Bw.…
29 June 2021, 11:21 am
Ukosefu wa maji safi na salama waathiri uchumi wa kijiji cha Asanje
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa huduma ya maji safi na salama katika kijiji cha Asanje wilayani bahi imetajwa kuathiri shughuli za kiuchumi kwa wakazi wa kijiji hicho. Hayo yameelezwa na wakazi wa kijiji hicho wakati wakizungumza na taswira ya habari…
28 June 2021, 1:01 pm
Jamii imetakiwa kufuatilia na kufahamu sheria ndogondogo za utunzaji wa mazingir…
Na; JOAN MSANGI. Imeelezwa kuwa endapo jamii itafuatilia na kufahamu sheria ndogondogo za utunzaji wa mazingira itasaidia kwa kiasi kikubwa katika utunzaji wa mazingira pamoja na kuwa na mazingira bora. Hayo yameelezwa na Bw.Dicksoni Kimaro Afisa Mazingira wa jiji la…