Dodoma FM

Recent posts

3 March 2022, 2:11 pm

Mgogoro kati ya Urusi na Ukraine watajwa kuleta athari za kiuchumi

Na; Benard Filbert. Mgogoro unaoendelea hivi sasa kati ya Urusi na Ukraine umetajwa kuleta athari kubwa za kiuchumi barani Afrika ikiwepo kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta. Hayo yameelezwa na Profesa Enock Wiketie mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka…

1 March 2022, 3:53 pm

Wakazi wa Mkoka waiomba serikali kukamilisha mradi wa maji

Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mkoka Wilaya ya kongwa wameiomba Serikali kukamilisha miradi ya maji safi ili waweze kuondokana na changamoto hiyo ya muda mrefu Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema ukosefu wa maji…

1 March 2022, 3:34 pm

Sekta ya madini ni kiungo muhimu katika ukusanyaji mapato.

Na; Victor Chigwada. Sekta ya madini Jijini Dodoma imekuwa kiungo muhimu katika nyanja ya ukusanyaji mapato licha ya baadhi ya migodi pamoja na jamii ya maeneo husika kutokunufaika kwa kiasi kikubwa. Wananchi wa kijiji cha Nholi Kata ya Mpalanga wamesema…

16 February 2022, 3:55 pm

Jamii yatakiwa kuwapa ushirikiano watu wenye ulemavu

Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa  kuelewa kuwa wapo baadhi ya watu wenye ulemavu ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jamii kutokana na kupewa ushirikiano kutoka katika jamii. Akizungumza na taswira ya habari katibu mkuu wa shirikisho la watu wenye ulemavu…

16 February 2022, 3:25 pm

RALI yaanzisha kampeni mpya ya EXCEL

Na; Benard Filbert. Shirika la RALI nchini limeanzisha kampeni mpya ya EXCEL lengo ikiwa kuitaka jamii kuchukua hatua madhubuti za kupambana na mabadiliko ya tabia za nchi kupitia utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na afisa mradi wa taasisi hiyo bwana…

15 February 2022, 4:42 pm

Wananchi waomba kupatiwa elimu juu ya mazoezi ya viungo

Na ;Thadei Tesha. Mwitikio wa watu kufanya mazoezi bado umeendelea kuwa wa wastani kutokana na watu kutopata elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kufanya mazoezi. Taswira ya habari imefanya mahojiano na wananchi jijini hapa kufahamu ni kwa kiasi gani …

15 February 2022, 4:27 pm

Wakulima washauriwa kulima mazao ya muda mfupi

Na; Neema Shirima. Kutokana na kuwa na mvua za wastani katika mwaka huu wananchi wa mkoa wa Dodoma wameshauriwa kulima mazao ya muda mfupi na yanayostahimili mvua za wastani Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa mtaa wa Pinda kata ya Zuzu…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger