Dodoma FM

Wafasiri, wakalimani kukuza kiswahili ndani na nje ya nchi

2 October 2024, 8:57 pm

Bi Habiba Ramadhani kutoka chama cha wafasiri na wakalimani

Wafasiri na wakalimani kukuza lugha ya kiswahili ndani na nje ya nchi

Na Mariam Matundu.

Wafasiri na wakalimani wana mchango mkubwa katika kukuza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Itakumbukwa kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu , Sayansi na Utamaduni UNESCO lilitambua na kutangaza rasmi siku ya Kiswahili kuanza kuadhimishwa kimataifa tangu mwaka 2021.

Mariam Matundu  amefanya mahojiano na Christian Kapere  na Habiba Ramadhani kutoka chama cha wafasiri na wakalimani  ili kuweza kutambua namchango wao katika kukuza lugha ya kiswahili.

Bi Mariam Matundu Mwandishi wa habari Dodoma TV
Bi. Habiba Ramadhani kutoka chama cha wafasiri na wakalimani
Bwn. Christian Kapere  kutoka chama cha wafasiri na wakalimani