Dodoma FM
Vijana tumieni vipaji kutatua changamoto ya ajira
27 September 2024, 8:42 pm
Na Steven Noel.
Changamoto kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo, baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha.
Hapa tumsikie moja ya kijana kutoka Wilayani Mpwapwa ambaye amejikita katika usukaji wa nywele kwa wanawake.
Baadhi ya wanawake amabo ni wateja wake wamepongeza kijana huyo kwa uthubutu aliouonesha kwa kuona fursa katika suala la usukaji wa nywele kwa wanawake.
Kijana akionesha ujuzi alionao wa kushona mikoba ya aina mbali mbali