Dodoma FM

Mikopo asilimia 10 ni salama kwa wajasiriamali

23 September 2024, 8:43 pm

Na Steven Noel.

Wajasiriamali Wilayani Mpwapwa wameshauriwa kuwa makini wakati wa kutafuta na kuomba huduma za mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali ili kuepukana na chamgamoto za marejesho zinazoweza kujitokeza kuhusiana na masharti ya mikopo hiyo.

Bi Fransica Mloka Afisa Maendeleo ya Jamii Wiliaya ya Mpwapwa

Sauti ya Bi Fransica Mloka

Aidha  baadhi ya wakazi wilayani Mpwapwa wanaelezea jinsi ya wanavyoweza kutumia pesa za mkopo Pamoja na changamoto zinazojitokeza kutokana na  huduma za mikopo wanazopata toka kweye taasisi mbalimbali.

Bi Safina Hemedi Sadala Mjasiriamali Mpwapwa
Sauti ya Bi Safina Hemedi Sadala na Bi. Ruth Mkondola
Bi Ruth Mkondola Mkazi Mpwapwa