Dodoma FM
Dodoma FM
9 February 2022, 14:58
Na; Benard Filbert. Licha ya mvua kuwa chini ya wastani msimu huu imeelezwa bado kuna uwezekano mkubwa wa kupata mazao yakutosha kwa wakulima wa mazao mbalimbali kanda ya kati. Hayo yanajiri kufuatia baadhi ya wakulima kuwa na wasiwasi wa kupata…
8 February 2022, 16:45
Na; Neema Shirima. Hali ya ukosefu wa chakula kwa wanafunzi katika baadhi ya shule za msingi jijini Dodoma inachangia wanafunzi kutofanya vizuri darasani pamoja na utoro Akizungumza na taswira ya habari mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya msingi Chitabuli iliyopo…
7 February 2022, 16:26
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Chitabuli kilichopo katika wilaya ya Chamwino jijini Dodoma wameiomba serikali iwaboreshee miundombinu ya barabara ambayo imekuwa ni changamoto kubwa kwao. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema ubovu wa…
7 February 2022, 15:44
Na; Benard Filbert. Vyombo vinavyosimamia sheria nchini vimeombwa kusimamia haki pale inapobainika mtu yeyote kufanya vitendo vya kikatili ili kukomesha hali hiyo. Hayo yamebeinishwa na afisa miradi Bi Stella Matei kutoka taasisi ya ACTION FOR COMMUNITY CARE ambayo inajihusisha na…
7 February 2022, 14:49
Na; Thadei Tesha. Baadhi ya vijana jijini hapa wamesema elimu zaidi inahitajika kwa vijana ambao wamekuwa wakiathiriwa na matumizi ya pombe pamoja na tumbaku juu ya athari za kiafya zinazoweza kuwapata. wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana jijini…
4 February 2022, 15:55
Na; Victor Chigwada. Kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha Jijini hapa maeneo mengi yenye barabara za kawaida hususani vijijini yamekuwa yakiathirika kwa kiasi kikubwa na hata kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo. Wananchi wa Kata ya Loje ni miongoni mwa…
4 February 2022, 15:05
Na ;Fred Cheti. Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya ugonjwa wa Saratani Duniani ushauri umetolewa kwa jamii kuzingatia aina ya ulaji wa vyakula pamoja na aina ya mitindo ya maisha kwani ni miongoni mwa sababu sababishi ya tatizo hilo.…
2 February 2022, 16:20
Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Pinda katika kata ya Zuzu jijini Dodoma wameiomba serikali iwaboreshee miundombinu ya barabara katika mtaa huo . Wamesema hali ya barabara hasa kwa kipindi cha mvua imekuwa changamoto kwani wakati mwingine wanashindwa kupita…
2 February 2022, 16:05
Na; Benard Filbert. Idara ya afya katika jiji la Dodoma imeanza oparesheni ya ukaguzi wa maeneo yanayotumika kuuzia vyakula na vinywaji katika kata zote lengo ikiwa kuwataka wauzaji hao kufuata sheria ya afya ya jamii ya mwaka 2009. Hayo yameelezwa…
2 February 2022, 15:53
Na; Pius Jayunga. Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mh. Samia suluhu Hassan amesema bado kuna malalamiko mengi ya wananchi juu ya ucheleweshwaji wa haki katika muhimili wa mahakama. Rais samia ametoa kauli hiyo wakati wa sherehe za kilele…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-