Dodoma FM
Dodoma FM
16 February 2022, 15:55
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuelewa kuwa wapo baadhi ya watu wenye ulemavu ambao wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika jamii kutokana na kupewa ushirikiano kutoka katika jamii. Akizungumza na taswira ya habari katibu mkuu wa shirikisho la watu wenye ulemavu…
16 February 2022, 15:43
Na; Thadei Tesha. Wananchi jijini Dodoma wamewataka viongozi wa mitaa mbalimbli jijini hapa kuendelea kuhamasisha kufika katika ofisi za maliasili kuchukua miche ya kupanda katika maeneo yao Wakizungumza na taswira ya habarri baadhi ya wananchi jijini hapa wamesema ni wakati…
16 February 2022, 15:25
Na; Benard Filbert. Shirika la RALI nchini limeanzisha kampeni mpya ya EXCEL lengo ikiwa kuitaka jamii kuchukua hatua madhubuti za kupambana na mabadiliko ya tabia za nchi kupitia utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa na afisa mradi wa taasisi hiyo bwana…
15 February 2022, 16:42
Na ;Thadei Tesha. Mwitikio wa watu kufanya mazoezi bado umeendelea kuwa wa wastani kutokana na watu kutopata elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kufanya mazoezi. Taswira ya habari imefanya mahojiano na wananchi jijini hapa kufahamu ni kwa kiasi gani …
15 February 2022, 16:27
Na; Neema Shirima. Kutokana na kuwa na mvua za wastani katika mwaka huu wananchi wa mkoa wa Dodoma wameshauriwa kulima mazao ya muda mfupi na yanayostahimili mvua za wastani Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa mtaa wa Pinda kata ya Zuzu…
14 February 2022, 17:54
Na; Thadei Tesha. Kufuatia hivi karibuni mkamu wa Rais Mh Philip Mpango kuzindua sera ya taifa ya mazingira ya mwaka 2021 jijini hapa baadhi ya wananchi jijini hapa wameipongeza serikali kwa kuendela kuhamasisha suala la utunzaji wa mazingira katika jamii.…
14 February 2022, 17:44
Na; Neema Shirima. Wananchi wa kijiji cha Chitabuli katika kata ya Membe jijini Dodoma wameiomba serikali iwajengee zahanati ili waweze kuondokana na changamoto ya ukosefu wa huduma hiyo katika kijiji hicho Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema changamoto…
14 February 2022, 17:40
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha dhana potofu kuwa siku ya wapendanao ni siku ya watu waliopo kwenye ndoa na badala yake siku hiyo itumike kuonesha upendo kwa kila mtu katika jamii. Hayo janajiri kufuatia dhana iliyopo katika jamii asilimia…
9 February 2022, 15:51
Na; Neema Shirima. Wakazi wa mtaa wa Chididimo kata ya Zuzu wameiomba serikali iwaongezee waalimu katika shule iliyopo katika mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema katika shule ya msingi Chididimo waalimu ni wachache jambo ambalo linawafanya…
9 February 2022, 15:22
Na ;Thadei Tesha. Ofisi ya maliasili jijini Dodoma kwa kushirikiana na wakala wa misitu TFS wametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kuchukua miche ya miti kwa ajili ya kupanda kipindi hiki cha mvua. Akizungumza na taswira ya habari afisa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-