Dodoma FM

Zijue athari za malezi ya upande mmoja

17 October 2024, 8:01 pm

Na Anwary Shabani                                    

Malezi ya upande mmoja yametajwa kuwa ni changamto kwa makuzi ya mtoto.

Kwa nyakati tofauti, wananchi Jijini Dodoma  wamesema kuwa zipo changamoto  nyingi zinamkabili mtoto anayepata malezi ya upande mmoja ikiwemo suala la elimu.

Aidha wananchi  hao wamebainisha mambo ambayo  yanachangia kwa kiasi kikubwa  kuharibu watoto hasa wanaopata malezi ya upande mmoja.

Pichani mwananchi akitoa maoni kuhusu athari za malezi ya upande mmoja
Sauti za wananchi
Pichani mwanachi akieleza akielezea changamoto za malezi ya upande mmoja