Dodoma FM

Uelewa matumizi ya mfumo yanyima makundi maalumu 30%  

14 November 2024, 8:06 pm

Na Mariam Kasawa.

Jamii ya kundi maalumu imetajwa kukabiliwa na changamoto ya uelewa jinsi ya kutumia mfumo wa Serikali wa NEST ili kupata taarifa za kiuchumi

Bi .Felister Mdemu  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wanawake na Makundi Maalum anasema asilimia 30 iliyotengwa na serikali kwaajili ya wanawake haitumiki kutokana na uelewa mdogo wa kuingia kwenye mfumo wa huo.

Pichani Bi .Felister Mdemu  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wanawake na Makundi Maalumu
Sauti ya Bi .Felister Mdemu  Naibu

Kutokana na changamoto hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa TWCC Bi. Mwajuma Hamza anasema  wamejipanga  kuwafikia wafanyabiashara na wajasiliamali pamoja na makundi maalumu kuwatia elimu jinsi ya matumizi  ya mfumo huo.

Pichani Mkurugenzi Mtendaji wa TWCC Bi. Mwajuma Hamza
Sauti ya Bi. Mwajuma Hamza

Baadhi ya vijana na wanawake wanaeleza changamoto zinazo wakabili ikiwa ni pamoja na uelewa mdogo.

Pichani moja ya kijana akieleza changamto wanayokabiliana nayo katika kupata taarifa
Sauti za wananchi
Pichani moja ya kijana akielezea jinsi mafunzo ya TWCC yatavyowasaidia kapata 30% pesa ya makundi maalimu