Dodoma FM

Fahamu njia za kujikinga dhidi ya ugonjwa wa kiharusi

24 October 2024, 7:49 pm

Na Mariam Matundu.

Ugonjwa wa kiharusi unaendelea kushika kasi ambapo watu kadhaa huripotiwa kuwa na ugonjwa huo hapa nchini.

Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na hospitali ya Benjamini Mkapa zimetajwa kupokea wagonjwa 15 hadi 20 wa ugonjwa wa kiharusi kila wiki .

Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani kutoka hospitali ya Benjamini Mkapa Edwin Ochina amesema kuwa ripoti za shirika la afya duniani zinaonesha kiharusi ni ugonjwa wa tatu kusababisha vifo duniani .

Aidha Dkt Edwin Ochina amesema kuwa Hospitali ya mkoa wa Dodoma na hospitali ya Benjamini Mkapa  hupokea  wagonjwa 15 hadi 20 wa kiharusi kila wiki .

Edwn Ochima Dkt bingwa wa magonjwa ya ndani anaeleza mambo amabyo ni chanzo kikuu cha ugonjwa wa kiharusi.  

Pichani Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani kutoka Hospitali ya Benjamini Mkapa Dkt. Edwin Ochina
Mahojiano : Mariam Matundu na Dkqt Edwin Ochina.
Pichani Bi. Mariam Matundu Mtangazaji wa Dodoma TV

Tanzania inaungana na dunia kuadhimsha siku ya ugojwa wa kiharusi kila ifikapo Okt. 29 kila mwaka na hii ni wiki ya kampeni ya kuelimisha jamii huhusu ugonjwa wa kiharusi ..