Dodoma FM

Changamkia siku 5 za huduma ya macho bure!  

20 September 2024, 7:51 pm

Na Leonald Mwacha

Halmashauri ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na wadau afya ya macho wanatarajia kutoa huduma ya afya ya macho kata ya Hombolo kwa siku tano kuanzia jumatatu tarehe 23/09/2024  mpaka 27 /09/2024.

Fuatilia mahojiano haya na mwandishi wetu Leonard Mwacha akizungumza na  na Daktari Huduma za Macho Jiji la Dodoma Hidaya Seleman ambapo kwanza anamuuliza lengo la kampeni hiyo na huduma zitakazotolewa.

Leonard Mwacha akizungumza na  na Daktari Huduma za Macho Jiji la Dodoma Hidaya Seleman
Sauti ya Leonard Mwacha na Dkt. Hidaya Seleman
Picha kuonesha tatizo la mtoto wa jicho