Dodoma FM

Ufahamu mtaa wa Bihawana jijini Dodoma

22 July 2024, 6:39 pm

Picha ni Majengo ya Shule ya Sekondari Bihawana shule ambayo ni kongwe inayopatikana katika eneo hilo. Picha na Fahari ya Dodoma.

Yussuph Hassan ametembelea mtaa wa Bihawana na kuja na ripoti kamili.

Na Yussuph Hassan.
Bihawa ni kata ambayo inapatikana katika Jiji la Dodoma, licha ya umaarufu wa eneo hili kwa kilimo cha zabibu, pia ipo shule ya sekondari kongwe Bihawana ambayo inapatikana katika eneo hili.