Dodoma FM

Matumizi ya nishati ya umeme jua ni tija katika kilimo

1 November 2024, 6:50 pm

Na Mindi Joseph

Matumizi ya nishati ya umeme jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima.

Bwana Ngalya mkulima mkazi wa Kata cha Matungulu nje kidigo ya jiji la Dodoma anaelelza jinsi anavyonufaika  na nishati ya umeme jua katika shughuli za kilimo.

Pichani Bwn, Ngalya akieleza jinsi nishati ya umeme jua inavyomnufaisha katika kilimo
Sauti ya Bwn, Ngalya

Aidha baadhi ya wakulima katika kata hiyo wameeleza changamoto zinazowakabili katika kuopata huduma ya nishati ya umeme jua katika shughuli za kilimo.

Pichani wakulima wa kata ya Matungulu jijini la Dodoma wakieleza changamoto za kiuchumi zinaziwakabili katika kupata huduma ya nishati ya umeme jua
Pichani wakulima wa kata ya Matungulu jijini la Dodoma wakieleza changamoto za kiuchumi zinaziwakabili katika kupata huduma ya nishati ya umeme jua

Bi Anneth Mnana Afisa kilimo wa kata ya Matumbulu  ametoa ushauri jinsi wa wakulima wasiokuwa na uwezo ili kuweza kupata huduma ya nishati yaa umeme jua.

Pichani Bi. Anneth Mnana Afisa kilimo wa kata ya Matumbulu akitoa ushauri kwa wakulima jinsi ya kupata huduma ya nishati ya umeme jua
Sauti ya Bi. Anneth Mnana

Matumizi ya nishati ya umeme  jua katika shughuli za Kilimo inatajwa kuwa Mkombozi kwa Wakulima kutokana na kuokoa gharama mbalimbali pamoja na kuwezesha uzalishaji wenye tija kwa msimu mzima.

Pichani bustani ya mbogamboga zinazozalishwa kutikana na maji yanayosukumwa na nishati ya umeme jua