Dodoma FM

Madereva stendi ya mnada mpya Dodoma walia na ubovu wa miundombinu

23 October 2024, 6:59 pm

Na Mindi Joseph.

Madereva wa stend ya mnada mpya Jijini Dodoma wamakabiliwa na changamoto ya faini za mara kwa mara kutokana na kuegesha magari maeneo yasiyo rasmi kutokana na changamoto ya miundombinu.

Madereva hao wanaeleza jinsi hali alisi ya stendi hiyo ilivyo kwa sasa.

Pichani madeeva wakieleza hali ya stendi kwa sasa
Sauti za madereva

Mwenyekiti wa wasafirishaji Bwn. Mfaume Ramadhani anaelelea hali wanayoipitia kwa sasa kutokana na changamoto hiyo.

Mwenyekiti wa wasafirishaji Bwn. Mfaume Ramadhani
Sauti ya Bwn. Mfaume Ramadhani

Aidha madereva hao wameiomba serikali kuwasaidia kupata usimamizi mzuri  wa stendi hiyo ili kutatua changamoto iliyopo kwa sasa.

Sauti za madereva
Pichani watoa huduma ya usafiri wa boda boda na baiskeli katika stendi ya mnada mpya