Dodoma FM
Afya ya akili ni changamoto kwa vijana
23 October 2024, 6:59 pm
Na Steven Noel.
Vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa wanakabiliwa na changamoto ya afya ya akili kutkana na sababu mbalimbali likiwemo suala la mahusiano.
Julieth Mageje muuguzi kitengo cha afya ya akili wilayani mpwawa anabainisha chanzo la tatizo la afya ya akili kwa vijana.
Moses Haule muuguzi kitengo cha afya ya akili Wilayani Mpwawa anaelezea jinsi utumiaji wa pombe kali unvyoweza kuwa ni moja ya sababu ya changamoto ya afya ya akili.
Je wananchi wanauelewa gani juu ya tataizo la afya ya akili?