Dodoma FM

Mkonze yajiimarisha kiulizi kudhibiti mauaji na uhalifu

4 October 2024, 8:08 pm

Na Nazaaeli Mkude

Kufuatia tukio la mauaji  la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu  katika Kata ya Mkonze Mtaa wa Muungano A, Kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo katika mtaa huo na maeneo jirani.

Bwn. Yona Lubano Wami Mwenyekiti wa Mtaa wa Muungano A  anaeleza jinsi walivyojipanga kuimarisha ulinzi na usalama katika mtaa wake.

Bwn. Yona Lubano Wami Mwenyekiti wa Mtaa wa Muungano A
Sauti ya Bwn. Yona Lubano Wami

Aidha baadhi ya wananchi  wakazi wa mtaa huo   hawakusita kueleza jinsi hali ilivyokuwa mara baada ya tukio  la mauaji kufanyika na jinsi hali ilivyo kwa sasa

Pichani Bi Rosemay Kambi mfanyabiashara Mkonze akielezea hali ya usalama ilivyo kwa sasa
Sauti za wananchi
Pichani Bwn Rashidi Hamisi Mkazi wa Mkonze akieleza hali ya usalama ilivyo kwa sasa