Dodoma FM

Chemba siyo sehemu ya utafutaji dada wa kazi

17 September 2024, 8:59 pm

Picha kuonesha washiriki wa tamasha la Usandawe Festival

Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi

Na Leonard Mwacha

Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi kutokana na sababu za kukosa elimu. Hayo yamesemwa na Mbunge wa Chemba Mh. Mohammed Monni katika kuazimisha  tamasha la Usandawe Festival.  

Mbunge wa Chemba Mh. Mohammed Monni akifanya mahojiano na Leonard Mwacha wa Dodoma TV
Sauti ya Mbunge wa Chemba Mh. Mohammed Monni

Aidha ameeleza kuwa serikali imetoa fedha za kutosha ili kuhakikisha kuwa miundombinu ya kielimu inaboreshwa na kujengwa ili kukidhi mahitaji ya kielimu kwa mtotot wa kike.

Sauti ya Mbunge wa Chemba Mh. Mohammed Monni

Wazazi wilayani  Chemba wametakiwa kuhakikisha kuwa watoto wao wanakwenda shule kwani kwa sasa miundombinu ya elimu imeboreshwa kwa kiwango kikubwa kutokana na serikali kutoa zadi ya Bilioni 17 za kuboresha miundombinu ya elimu. Hayo yalisemwa na Mbunge Chemba Mh. Mohammed Monni katika kuazimisha  tamasha la Usandawe Festival.   

Mbunge wa Chemba Mh. Mohammed Monni