Dodoma FM

Recent posts

21 September 2021, 12:20 pm

Dodoma waidhimisha siku ya amani duniani kwa kudumisha amani mitaani

Na; Shani Nicolous. Kufuatia maadhimisho ya siku ya amani Duniani mwenyekiti wa wenyeviti wote jijini Dodoma Matwiga Kiyatya amesema wajibu wao ni kuhakikisha mitaa yote jijini inakuwa katika hali ya amani. Akizungumza na Taswira ya habari kupitia kipindi cha Dodoma…

21 September 2021, 12:08 pm

Wazazi wametakiwa kuwapa mafunzo ya ziada wahitimu wa darasa la saba ili kuwaepu…

Na ; Thadei Tesha. Wazazi jijini hapa wameshauriwa kuhakikisha wanawasaidia watoto wao waliohitimu darasa la saba katika kuwawezesha kupata mafunzo mbalimbali katika kipindi hiki wanachosubiri matokeo ili kupunguza vitendo vya ukatili na watoto kuharibikiwa kimaadili katika jamii. Akizungumzia athari ambazo…

20 September 2021, 11:54 am

Matumizi ya pombe katika mikusanyika yachangia maambukizi ya uviko 19

Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa matumizi ya pombe katika jumuiya na kwenye mikusanyiko yanachangia kwa kiasi kikubwa maambukizi ya uviko 19. Akizingumza na Taswira ya habari Dr. Missan Yango kutoka hospitali ya Mkoa Dodoma amesema kuwa kutumia pombe sehemu za…

17 September 2021, 1:44 pm

Ongezeko la watu wilayani Bahi lapelekea uhita wa maji zaidi

Na; Benard Filbert. Licha ya mji wa Bahi Mkoani Dodoma kupokea fedha kiasi cha shilingi million 120 kwa ajili ya kuchimba kisima kipya ili kuongeza upatikanaji wa maji bado juhudi zinahitajika kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Hayo…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger